Usmati wa Kiafrika.
Je elimu ndio inachangia ustaarabu wa mataifa mengi ya afrika unakua wa kubabaisha?
Utakuta watu wanatupa taka hovyo mitaani bila kujali madhara ya baadae.
Mfano.
Hii ni njia mojawapo karibia na makazi ya watu jijini Dar es salaam Tanzania.