Jumatano, 3 Julai 2013

Unadhifu wa Kiafrika

Usmati wa Kiafrika.

Kuna chochote unachoweza kusema kuhusu ustaarabu na unadhifu wa watu wa bara la afrika?
Je elimu ndio inachangia ustaarabu wa mataifa mengi ya afrika unakua wa kubabaisha?
Utakuta watu wanatupa taka hovyo mitaani bila kujali madhara ya baadae.

Mfano.


Hii ni njia mojawapo karibia na makazi ya watu jijini Dar es salaam Tanzania.